
Inawezekana wanyama pori na binadamu kunawiri kwa amani...
Wildlife Works huanzisha miradi ya kuhifadhi misitu kwa ushirikiano na jamii zinazolinda mazingira ya viumbe anuwai vilivyo Duniani.
wakati suluhu za uhifadhi zinaongozwa na jamii za misitu.
WASHIRIKA WA JUMUIYA YETU

CHIEF BASABA BOOT'OMBALA
MAI NDOMBE, DRC
"Tangu tulipoanza kufanya kazi na Wildlife Works, nimeanza kujeresha kila kitu nilichopoteza.
Wanyama wanarejea na kwa kuwa maeneo yetu ya kipekee sasa yamelindwa dhidi ya kampuni ya kukata miti, nimepata tena nguvu zangu."

GILDARDO CALDERÓN
PUTUMAYO, COLOMBIA
"Tunategemea Dunia Mama yetu ili kupata bidhaa tunazohitaji kwa ajili ya familia zetu. Hiyo ndiyo maana ni wajibu wetu kutunza afya ya mazingira."

ANNE BOKUTU BOLEKOKA
MAMA NA MKULIMA KIJIJINI
"Mradi wa Wildlife Works unazingatia suala la ubaguzi wa kijinsia. Kuna mipango bora ya kushirikisha wanawake kwenye kilimo endelevu.
Kwa sababu ya mapato yanayotokana na mradi huu, niliweza kuwapeleka watoto wangu shuleni."

ENGOKULU WANZA
KIONGOZI WA JAMII, DRC
"Kampuni za kutengeneza mbao ziliharibu misitu yetu na kukera wanyama kutokana na mashine zenye kelele nyingi. Hata nyakati za ukoloni, hatukushuhudia idadi ya shule na kliniki tulizo nazo sasa. Tumesahaulika."

ERASME MBOBA
MWALIMU KATIKA KIJIJI CHA MPILI, DRC
"Sisi walimu hatujaweza kupokea usaidizi wa kutosha kutoka kwa serikali.
Kwa kushirikiana na Wildlife Works na kulinda misitu, tumepata ufadhili wa kujenga shule zaidi."

GRACE MWACHUGHA
KASIGAU CORRIDOR, KENYA
"Tangu Wildlife Works ianze kulinda misitu na wanyama pori kikamilifu, uchomaji wa makaa umepungua pakubwa. Ninafurahi kuona hilo kwa sababu eneo hilo limeanza kuwa tulivu,
kwa sababu miti husaidia kudhibiti halijoto ya mazingira."

CHIEF NKONSANGO NDALA
MAI NDOMBE, DRC
"Tunashukuru kwamba Wildlife Works imejitolea kwa muda mrefu, si kama wadau wengine ambao wanachangia tu bidhaa mahususi, kama vile pampu yetu ya zamani ya maji iliyoharibika, kisha wanaondoka."
_JPG.jpg)
CHIEF MARTAWI
BATAMPANG VILLAGE, INDONESIA
Kazi ya Wanyamapori Indonesia inahakikisha uwazi kamili katika mchakato wa Ridhaa ya Bure, ya Awali na ya Kujulishwa (FPIC), ambayo ni muhimu kwa jamii.
ATHARI ZA KIMATAIFA

1.3m
HEKARI ZA MISITU ZILIZOLINDWA
53m
MALIPO YALIYOTOLEWA YA KUZUIA UKATAJI MITI

214k
WASHIRIKA WA JAMII

66
VIUMBE VILIVYO HATARINI VYA IUCN AMBAVYO VILILINDWA

HEKARI
One hectare is roughly equivalent to two football fields (10,000 square meters).
MALIPO YALIYOTOLEWA YA KUZUIA UKATAJI MITI
One carbon credit is equal to one metric ton of carbon dioxide. Avoided deforestation is defined as preventing deforestation by creating a change in policy, funding, actions, goals, etc. By stopping deforestation that would have happened if our projects did not exist, we can prevent carbon dioxide from entering the atmosphere. One metric ton of carbon dioxide is roughly equivalent to the amount of carbon dioxide that 40 mature tropical rainforest trees breathe in each year. However, each species of tree is different, and various environmental factors can affect this rate. That is why our on-the-ground teams meticulously work to analyze the amount of carbon in each of our project areas every year.
WASHIRIKA WA JAMII
Community partners include all of the people who live in the project area and are impacted by project activities.
VIUMBE VILIVYO HATARINI VYA IUCN AMBAVYO VILILINDWA
The International Union for the Conservation of Nature (IUCN) is the leading authority on determining the conservation status of each species. After extensive research, species are listed on a scale of Not Threatened (NT) to Extinct (EX).
%201%20(2).webp)
Ofisi ya Uingereza
Ofisi ya Vermont
Ofisi ya Karolina Kaskazini

Miradi 3 ya Horizon REDD+ katika Eneo la Mazingira la Pasifiki nchini Kolombia

Miradi 2 ya Horizon REDD+ katika Amazon ya Kolombia

Ofisi ya Panama

Ofisi ya Kameruni

Ofisi ya Tanzania

Ofisi ya Indonesia

Mradi wa REDD+: Kasigau, Kenya

Mradi wa REDD+: Mai Ndombe, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Makao Makuu ya Kimataifa katika jimbo la California
UWEPO KOTE DUNIANI
TAZAMA
THE WILDLIFE WORKS ORIGIN STORY
Wildlife Works was founded in 1997 with a mission to develop solutions for wildlife conservation which work for local communities.
JANGILI HADI MLINDAJI
Mradi wa Mai Ndombe REDD+ nchini DRC umeajiri zaidi ya walinzi 20 wa mazingira, wengi wakiwa waliokuwa majangili zamani.
ABOUT THE MAI NDOMBE REDD+ PROJECT
The Mai Ndombe REDD+ Project protects 300,000 hectares of critical bonobo and forest elephant habitat within the world’s second-largest intact rainforest and some of the most important wetlands on the planet, the Congo Basin.
MAJI NI MAISHA
Katika mradi wa Kasigau Corridor REDD+ nchini Kenya, wanajamii wanawekeza mapato ya hewakaa katika kuboresha ufikiaji wa maji kwa wote.
PICHA YA MWANAMISITU: CONNIE
Katika mradi wa Kasigau Corridor REDD+ nchini Kenya, Connie Mwandaa amesaidia kuongoza njia kwa wanamisitu wa kike.
ABOUT THE KASIGAU CORRIDOR REDD+ PROJECT
The Kasigau Corridor REDD+ project is the world’s first and longest standing certified REDD+ (Reducing Emissions from Deforestation and Degradation) project.
JANGILI HADI MLINDAJI
Mradi wa Mai Ndombe REDD+ nchini DRC umeajiri zaidi ya walinzi 20 wa mazingira, wengi wakiwa waliokuwa majangili zamani.
JANGILI HADI MLINDAJI
Mradi wa Mai Ndombe REDD+ nchini DRC umeajiri zaidi ya walinzi 20 wa mazingira, wengi wakiwa waliokuwa majangili zamani.



