RATIBA
1997
JUNI 4
Wildlife Works Inc. iliundwa. Rukinga ilichaguliwa kama eneo la kwanza la mradi.
SEPTEMBA 16
EPZ ya Wildlife Works ilianzishwa ili kujiandaa kwa ajili ya kiwanda cha biashara nchini Kenya.
1998
JUNI 14
Maafisa wa kwanza wa misitu waliajiriwa. Sera dhidi ya bunduki iliwekwa. mitego 800 iliondolewa kila siku.
2000
DISEMBA
JANUARI
Ndovu kwa kwanza walirudishwa Rukinga.
2001
JANUARI
Shule ya kwanza ilijengwa.
AGOSTI
Fulana ya kwanza kamili ilitolewa kwenye mchakato wa uzalishaji.
AGOSTI
Wanyama wanne kati ya "watano wakubwa" walirudi Rukinga.
2002 HADI 2003
Nembo mpya na uzinduzi wa tovuti yetu ya moja kwa moja kwa watumiaji.
Maangazio kadhaa ya Matangazo
2005 HADI 2008
Wildlife Works inawajibikia ufadhili wa kulinda Hifadhi ya Rukinga.
2007
Ilifanya mpango ya jaribio wa ufunguzi wa duka kule San Fransisco.
JUNI 2005
Ilitayarisha kipindi cha uanamitindo cha sherehe za Siku ya Mazingira Duniani ya Umoja wa Mataifa kule SF.
2008
Ilishiriki kwa mara ya kwanza katika Wiki ya Uanamitindo jijini London.
2009
JANUARI
Wildlife Works Carbon LLC iliasisiwa.
DISEMBA
Tulipokea Uidhinishaji wa kwanza wa Dhahabu wa CCB kwa viumbe na ufanisi wa jamii katika Kasigau.
FEBRUARI
SIlianza kufanyia kazi mradi wa kwanza wa majaribio wa REDD+ kupitia Kasigau, Kenya.
2010
SEPTEMBA
Tulizindua Mpango wa Maendeleo wa Mbinu ya REDD+ ya VCS.
JANUARI
Tulizindua awamu ya jamii ya mradi wa REDD+ katika Kasigau ili kupanua eneo la kutunza hadi ekari 500,000 (kutoka 80,000 awali) hali ambayo inaleta mapato kutokana na mauzo ya hewakaa kwa wamiliki 5,000 wa ardhi na manufaa ya pamoja kwa watu 100,000 waliokuwa karibu.
Wildlife Works Iliweka Chapa Yake Upya
FEBRUARI
Mradi wa Kasigau Corridor REDD+ ulifanikisha Malipo ya Kwanza ya Hewakaa ya REDD+ kupitia VCS.
JANUARI
Tulipokea idhini maradufu ya mbinu ya VCS.
2011
2012
JANUARI
Tuliasisi Code REDD, shirika lisilo la faida ili kukuza soko na kupata usaidizi wa tasnia mbalimbali kwa ajili ya mauzo ya hewakaa ya REDD.
JUNI
Uzinduzi wa kimataifa wa Code REDD katika Hafla ya Kumbukumbu ya 20 ya Mkutano wa Rio Earth Summit kule Rio de Janeiro Brazil.
DISEMBA
Uidhinishaji na Uhalalishaji wa 1 kwa Mradi wa Ndombe REDD+.
2015
FEBRUARI
Tulizindua jukwaa la Stand for Trees, jukwaa la watumiaji la kuuza hewakaa kupitia REDD+ na kukuza uhamasisho kuhusu kulinda misitu ili kupambana na mabadiliko ya tabianchi.
APRILI
Tulishirikiana na Prince EA ili kuzalisha makala ya "Wapendwa Vizazi Vijavyo: Tuwie Radhi" ambayo yalitazamwa na zaidi watu milioni mia moja na kuleta $500k katika ununuzi wa Stand for Trees uliofanywa na wanunuzi.
2016 HADI 2017
JANUARI
Tulianza kutoa huduma za ushauri kwa ajili ya miradi mingine ya REDD+.
NOVEMBA 2016
IFC ilioorodhesha Dhamana ya kwanza ulimwenguni ya Misitu inayolipa malipo ya hewakaa ya Wildlife Works kama migawo kwenye Soko la Hisa la London.
MACHI 2017
Rob Dodson, Mkuu wa Operesheni za Afrika, aliaga dunia katika kisa cha tanzia.
Matamanio yake yanaendelea kudumu katika mioyo yetu.
2018
OKTOBA
Mradi wa REDD+ wa Mai Ndombe ulioanishwa chini ya mpango wa kimaeneo, na kuufanya kuwa mpango wa kwanza duniani kufaulu katika ratiba ya Benki ya Dunia kuoanisha mradi ndani ya mpango wa kimaeneo.
MEI
Tulianza kazi nchini Kolombia: USAID ilitutwika jukumu la kusimamia miradi 8 ya REDD+ nchini Kolombia chini ya Mpango wa Paramos y Bosques.
DISEMBA
Tulitoa malipo ya kwanza hewakaa kupitia REDD+, katika mradi wa Southern Cardamon REDD+ nchini Kambodia kwa ushirikiano na Wildlife Alliance baada ya kufaulu kuidhinishwa na kuthibitishwa mnamo Agosti.
2019
2021
2023
JUNI
Tulifungua duka la kwanza la rejareja la Wildlife Works jijini Nairobi.